![]() | ||
Wananchi wa mjini Mbeya wakiwa wanaandamana huku wakiwa wameshikilia mabango yenye ujumbe wa "MBEYA NCHI: RAIS SUGU" |
![]() |
Baadhi ya waandamanaji wakiwa wameshilia manati wakati wakipambana na polisi wa kutuliza ghasia almaarufu kama (FFU) |
![]() |
Vitu mbalimbali vilichomwa moto kuashiria wanataka maandamano yasisitishwe. |
![]() |
Akina mama na watoto nao walikuwa kwenye maandamano huku mama mmoja akisikika kuwa "tuachaeni tusherekee miaka 50 ya uhuru ndiyo mtupige mabomu. |
![]() |
Baadhi ya barabara za mjini Mbeya zilifungwa kuzuia shughuli za usafiri kufanyika... |
![]() |
Hii ni risasi iliyokutwa na mpiga picha wangu eneo la tukio ambapo baadhi ya watu waliripotiwa kufa kutokana na maandamano hayo yaliotokea huko mjini Mbeya |
No comments:
Post a Comment