MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

09 November 2011

YATIMA WAMLIZA JACKLINE WOLPER....

Hawa ni vijana ambao ilisemekana ni yatima walipanda jukwaani kwaajili ya kuwaburudisha watu walioalikwa kwenye sherehe ndogo iliyoandaliwa na Jackline Wolper, maeneo ya Kibaha walipokuwa weakicheza mtindo wa Kiduku. Vijana hao wameamua kujiajiri wenyewe kwa kucheza kwenye shughuli mbalimbali kama wanavyoonekana hapo pichani.

Jacky alishindwa kuvumilia na kuamua kudondosha chozi. "Kweli inaniuma sana kuona vijana kama hawa hawana wazazi na wanajituma hivi, ningekua na uwezo ningeishi nao lakini nitawasaidia kadri ya uwezo wangu, sisi tuliojaliwa wazazi wote wawili tumebweteka kwa kusubiri urithi, waone hawa vijana wadogo wanavyojituma."


"Nyamaza Jacky......."

Marafiki zake wakimbembeleza......


"Ni kweli wanasikitisha hawa watoto ni lazima niwatembelee kwenye vituo vyao au mahali wanapoishi."

No comments:

Post a Comment