MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

10 November 2011

MASSAWE WA COMEDY KUINGIA KWENYE MUZIKI WA KWAITO......

Msanii wa maigizo ya uchekeshaji Tanzania, Rogers Richard alimaarufu kama" MASSAWE" kulia pichani akiwa pamoja na C Pwa, ameamua kuingia studio na kuanza kuimba kama wafanyavyo wasanii wa uchekeshaji wa nchi nyingine kama Marekani na kwingineko. "Marekani kuna wachekeshaji ambao mbali na uchekeshaji wameamua kuimba kama Will Smith na wengine kwahiyo kwangu si kitu kigumu kabisa kwangu" Nilipomuuliza kuhusu Mziki anaoufanya kama anafanyia biashara au la, alisema "mimi muziki wangu ukiusikiliza ni wa kimataifa kabisa maana ni mda mrefu nilikua nausoma mziki na soko lake na nimegundua ni njia gani nitokee. Kirukaafika na Afrika Yetu, inamtakia kila la kheri na shughuli zake za sanaa.

No comments:

Post a Comment