MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

01 December 2011

TAIFA LA KESHO LATEKETEA KWA VIFO VYA PAMOJA



Inasikitisha sana kuona vifo vya pamoja kwa watoto wadogo kama hawa katika hospitali fulani ya hapa jijini Dar-es-Salaam, nashindwa kuelewa ni mipango ya Mungu au ni uzembe wa Wazazi kutohudhuria Clinic ipasavyo wakati wa ujauzito? Au ni uzembe wa Madaktari wa Hospitali hii? Kirukaafrika na Afrika Yetu inapenda kuiomba Serekali yetu tukufu kuifanyia uchunguzi wa kina Hospitali hii maana naamini wote wanaijua na viongozi wengi walifika eneo la tukio.

No comments:

Post a Comment