Inauma, inasikitisha, inatia hasira kuona mtu ambaye alikaa tumboni mwa mama yake miezi isiyopungua tisa (9) hata kama ilipungua lakini alizaliwa na kulelewa hadi kufikia hatua ya kuweza kubeba ujauzito, leo hii anabeba ujauzito kwa mapenzi yake mwenyewe halafu anaamua kumtupa mtoto. Kwanini uluamua kubeba ujauzito leo hihi unaamua kutupa kiumbe kisicho na hatia? Unaona huna uwezo wa kulea kwanini ulibeaba ujauzito? Kiruukaafrika na Afrika Yetu, inaiomba Serekali iongeze adhabu kwa watu wenye tabia kama hizi ili kupunguza au kumaliza kabisa tatizo la kutupwa kwa watoto au kutoa mimba hovyo |
No comments:
Post a Comment