MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

23 December 2011

WASANII WA BONGO WAIBA VIJIKO KWENYE BIRTHDAY.

Msanii Husna Posh (Dotnata) pichani akiwa ameshikilia vijiko na uma akilalamikia kuibwa na wasanii waliohudhuria kwenye Birthday Party ya Irene Uwoya iliyofanyika Kawe jijini Mbezi Beach.

Hii ni ndoo aliyotumika kubeba vijiko na uma ambavyo yeye na kama mtu aliyeandaa chakula, vijiko hivyo aliviweka kwenye kila Meza lakni cha kushangaza ni kweamba kabla shughuli haijaisha vbaadhi ya vijiko havikuwepo pamoja na uma.

No comments:

Post a Comment