| Wengine wakisalimisha vitu vyao kwa ndugu, jamaa na marafiki. |
| Zoezi hili lilifanyika maeneo ya huko kwa Tumbo. |
| Maeneo hayohayo ya kwa Tumbo kuna wengine vitu vyo havikusombwa na maji lakini vilikua vimeloa bila ya kujua cha kufanya. |
| Wengine walijitahidi kuzibua maene yaliokua wanahisi yameziba. |
| Hapa ni Magomeni ambapo familia nyingi hazikuweza kuokoa chochote zaidi ya wao wenyewe kama anavyoonekana mkazi mmoja akiwa juu ya paa kunusuru maisha yake. |
| Hii ndiyo hali halisi ya maeneo hayo ya Magomeni kama inavyoonekana katika picha. |



No comments:
Post a Comment