Mwili wa aliyekua muigizaji wa kikundi cha sanaa cha Kaole, Fundi Said (Mzee Kipara) ukipelekwa eneo la kuifadhia mahiti katika Hospitali ya Mwananyamala. |
Kushoto ni mtoto wa Marehemu aliyejulikana kwa jina la Aisha, akisaidiwa na muigizaji wa Kaole ajulikanaye kama Zawadi kuelekea kwenye gari la maiti. |
Bi Mwenda kwenye huzuni kubwa... |
Msanii wa maigizo Mariam Athuman 'Kalunde' aliyekua akimuhudumia Mzee Kipara hadi kumfia mkononi mwake. |
No comments:
Post a Comment