MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

08 January 2012

"WANGAPI TUNAKUMBUKA KUSALI?"

Ni watu wangapi ambao Mungu amewajalia viungo vyote, nguvu, afya tele na hawakumbuki kumshukuru Mungu kwa wema anaowafanyia kila kukicha?
     Kija huyu ambaye ni mlemavu wa viungo akisujudu eneo lake la ibada akitambua umuhimu wa kuumbwa kwake na kuishi kwake. Suala la kumshukuru Mungu na kumuomba Mungu ni swala lazima.
    Tubadilike na tuwe watu wema na wacha Mungu.

No comments:

Post a Comment