Hartmann Mbilinyi (kulia) mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Hartmann Production amedhihirisha kwamba mbali na ukurugenzi aliokua nao pia ni mahiri katika fani ya uigizaji. |
Hartmann ambaye ameshiriki vilivyo katika filamu mpya ya "MY TAX DRIVER" amewadhihirishia watu kuwa yeye ni mkali na moto wa kuote mbali. Wasanii walishiriki katika filamu hiyo ni pamoja na Jacob Steven "JB" Jaquline Wolper na Suddy Ally.
No comments:
Post a Comment