MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

23 January 2012

ULEVI NOOOOMAAAA......

Wengi tunajua pombe ni mbaya haifai kuinywa mpaka ikushinde, jamaa huyu ambaye alikutwa amelala pembezoni mwa barabara huku akiwa hajitambui. Baaba ya kustuliwa alilalamika kuwa kuna watu wenye roho mbaya wamemfanyia mchezo mchafu na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri. Lakini yote hayo ni sababu ya kunywa pombe kupita kiasi. ULEVI NOMA..

No comments:

Post a Comment