MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

12 February 2012

LESENI MPYA ZALETA ADHA YA USAFIRI DAR.

Kamatakamata ya leseni mpya imeleta adha kwa vyombo vya usafirishaji kama daladala hapa jijini Dar-es-Salaam baada ya wamiliki w magari hayo kuamua kuyapaki kukwepa kukamatwa
      Tazama pichani mama huyu akijaribu kupakia gari kuptia bnjia isiyo sahihi ilimradi tu kuhakikisha anawahi anapotaka kwenda, bila kujali athari ambayo inaweza kumkuta baada kufanya hivyo. Kirukaafrika na Afrika Yetu, inawaomba wamiliki waq Daladala kuhakikisha wanawatafutia Leseni mpya madereva wao ili kukwepa adha kama hii.

No comments:

Post a Comment