MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

12 February 2012

NOTI MPYA ZA NELSON MANDELA KUANZA KUTUMIKA.

Rais Jacob Zuma alitangaza hayo mjini Johannesburg katika kutimiza miaka 22 tangu Bwana Mandela kuachiliwa huru baada ya kifungo kirefu.
Alisema kufunguliwa kwa Bwana Mandela ndio ulikuwa mwanzo wa awamu mpya ya matumaini nchini Afrika Kusini.

No comments:

Post a Comment