MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

20 February 2012

TUKUMBUKE KUOMBA KABLA NA BAADA YA KUTAFUTA MTOTO.

"Ee Mola bariki kila nnachokifanya ili mwisho wa siku kiwe na baraka mbele zako na jamii yote kwa ujumla. Nakuomba pia ubariki kizazi changu na cha wengine pia ili utakapoamua kunipa kiumbe nikilee, basi kipate afya njema.

No comments:

Post a Comment