MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

17 February 2012

HAJI RAMADHANI KUTOKA KIVINGINE KABISA..

Mshindi wa Bongo Star Seach Second Chance (BSS) 2011, Haji Ramadhani ametoa wimbo mpya unaokwenda kwa jina la "MOYO UNACHOMA" Akizungumza na mimi mwenyewe katika kutafuta habari nilikutana naye Maisha Club ambapo ndipo anapofanya kzi zake za muziki pamoja na bendi yake ya Afrikan Stars Wana wa Kutwanga na kupepeta yeye kama muimbaji.
           "Ujue Watanzania walinipa ushindi wakiamini mimi naweza sasa kuwadhihirishia hilo na mimi sitaki kuwaangusha kabisa na ndiyo maana nimetoa ngoma nyingine kama zawadi kwa Mashabiki wangu na Watanzania kwa ujumla".
Haji Ramadhani moja ya show zake akiwa jukwaani.

No comments:

Post a Comment