Wapenzi wawili nchini Bangladesh, wameamua kuchukua uamuzi wa kujiua wenyewe baada ya kila mmoja kutokua na uaminifu na mwenziye.
Wawili hao walioshindwa kudumu kwa mda mrefu kwenye ndoa yao ambayo ilijaa misukosuko ya kila aina bila kufikia muafaka ndipo waliamua kuchua uamuzi wa kujiua bila kumshirikisha mtu yeyote.
No comments:
Post a Comment