Unaweza ukajiuliza kama huyu jamaa anaigiza au anakula kweli, lakini ukweli ni kwaqmba ni kweli jamaa anakula na chaklula alichokizoea katika maisha yake. |
Sikuweza kujua huyu jamaa nikabila gani au ni mwenyeji wawapi lakini ni kijana anayeonekana kuzoea kitoweo hiki.
No comments:
Post a Comment