Mganga wa tiba za jadi nchini alimaarufu kama Manyaunyau, amepata mualiko rasmi mjini Dodoma ambapo atafika mpaka Bungeni.
Mwaliko huo alioupata toka kwa Mbunge mmjoa, alizungumza kuwa atafika Bungeni lakini si kwaajili ya kutoa uchawi, bali ni kama mgeni wa kawaida. "Nimefurahi sana kuona hata Serekali yetu inatambua mchango wetu kwa jamii na ndiyo maana wamenipa mwaliko huko Bungeni" Manyaunyau alisema.
No comments:
Post a Comment