MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

04 March 2012

"NAOMBA KURA ZENU WATANZANIA"

Naseeb Abdul  (DIAMOND PLATNUMZ) anawaomba mashabiki wake na Watanzania kwa ujumla kumuunga mkono katika kinyang'anyiro cha Kili Music Award ili kumuwezesha kujinyakulia tuzo hizo.
     Ili kumpigia kura Diamond, kwa simu yako, fungua uwanja wa ujumbe mfupi (sms) andika neno

  KILI C2 au KILI B1 au KILI F3 au KILI U1 au KILI R1 au KILI V3 au KILI V4 kisha unatuma kwenda namba 15747

No comments:

Post a Comment