MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

30 June 2011

JACKLINE WOULPER, FRANK WAMUADABISHA MIUNDOMBINU.

Malkia wa filamu nchini, Jackline W. Massawe au pacha Irene Uwoya kama wengi wanavyopenda kumuita, pamoja msani nguli Frank, wameingilia kazi ya askari polisi katika kuhakikisha wanatokomeza uhalifu unaofanyika katika jamii yao inayowazunguka. Jackline Woulper pamoja na Frank  wameshirikiana vilivyo kuhakikisha wanamfuatilia mwandishi wa habari aliyekua akiripoti matukio hatari tena kwa umakini wa hali ya juu. Huku yeye mwenyewe bila kujua anahatarisha maisha yake mwenyewe na mwisho wa siku nini kinamtokea, fuatilia kisa hiki kupitia filamu ambayo Jackline na Frank, wameshiriki ipasavyo nafasi waliocheza kwenye filamu hiyo iitwayo DARKER THAN NIGHT (GIZA NI ZAIDI YA USIKU).

No comments:

Post a Comment