Mchekeshaji wa runinga kupitia runinga ya Eatv, alimaarufu kama Massawe akiwa anajifua kwaajili ya kuingia Studio kuingiza sauti ya Wimbo wake wa "BABY" |
Sasa ni kazi kwa kwenda mbele. "Ni lazima wajue kua si uchekeshaji tu hata muziki nimo |
Kazi na dawa, Kirukaafrika na Afrika Yetu inamtakia kila la kheri katika shughuli zake zasanaa... |
No comments:
Post a Comment