Mimi kama Mwafrika mwenzenu na Mtanzania halisi kabisa na naungana na Watanzania wengine katika kusherehekea miaka hamsini (50) ya Uhuru Huyu mtu kwa mujibu wa yeye mwenyewe anasema yeyev ameamua kuvaa viatu kama urembo ila havitumii kama ndiyo vazi lake la kila siku ila hulivaa siku akijisikia tena kwa muda maalumu tu. Sasa swali likaja kwangu kuwa, kama ana uwezo wa kufikiri plasiki hii anaweza kuitumia kama kiatu pia ana uwezo wa kubuni vitu vingi na vikamsaidia yeye ikiwezekana hata kizazi kijacho. Kirukaafrika na Afrika Yetu, inapenda kuomba katika miaka hii hamsini ya Uhuru watu wenye vipaji vya ubunifu wzweze kupewa msaada wa kuendeleza vipaji vyao. |
No comments:
Post a Comment