MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

04 December 2011

NAKUPENDA SANA MUME WANGU LINEX - REHEMA FABIANI

Aliyekua Miss Kiswahili Rehema Fabiani (kulia) ameamua kumuweka wazi mpenzi wake mpya ambaye ni mwana Bongo Fleva ajulikana kama Linex aliyetamba na ngoma ya mama Halima (kushoto). Ambapo Rehema ameeleza hayo kwenye ukurasa wake wa Facebook  wenye maelezo "nakupenda saaaaaaaaana mume wangu Linex" Chanzo chetu hakijajua kama wawili hao wameshfunga ndoa au la lakini mlimbwende huyo ambaye kwa sasa anamuonekano mpya kabisa kama anavyoonekana pichani, na bila kujua kama ameshamaliza Arobaini ya baba yake mzazi alifariki hivi karibuni. Kirukaafrika na Afrika Yetu, inapenda kuwatakia wawili hao mafanikio mema yenye malengo mazuri na ili wapate matunda mema.

No comments:

Post a Comment