Maeneo mengi ya nchi yetu hasa vijijini barabara zimekua ni kero kubwa ambapo kuna ambazo zilikua na uwafadhali na nyingine zilikua bado hazijafanyiwa matengenezo kabisa. Kuna zilizoharibiwa na mabadiliko ya hali ya hewa na nyingine ni matumizi mabovu ya watumiaji wenyewe. Japo nyingi na matumizi mabovu ya watumiaji wenyewe na kushindwa kuitunza miundombinu hii muhi mu katika uchumi. Katika miaka hamsini ya Uhuru tunataraji kuona Serekali yetu ikitoa kipaumbele katika sekta hii ya Miundo mbinu ili kujaribu kuondoa adha ubovu wa Barabara. |
No comments:
Post a Comment