Jacquline Wolper 'kulia' na pacha wake Irene Uwoya 'kushoto wakikumbatiana baada ya kumaliza tofauti zao baada ya kile kilichadaiwa ni BIFU la mda mrefu kidogo.. |
Wema Sepetu, Irene Uwoya na Jacquline Wolper Massawe wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kupatanishwa kwenye Birthday Party ya Irene Uwoya iliyofanyika Kawe jiji Dar-es-Salaam mapema wiki hii. |
No comments:
Post a Comment