MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

01 December 2011

RASILIMALI ZETU ZINATUSAIDIA VIPI WATANZANIA WAKIPATO CHA CHINI?

Ukubwa wa nchi yetu na wingi wa rasilimali zetu unamsaidia vipi Mtanzaniai? Huyu mtoto wa Kiafrika tena Tanzania ambaye maisha yake ni ya kijijini japo yawezekana akawa anafurahia maisha hayo kutokana na mazoea tangu anakua, kua yeye ni maskini, na akiwa anaamini pia nchi yake ni maskini na haina Rasilimali yeyote. Lakini itakuaje pale atakapopata akili na kupevuka kujua kua nchi yake ina utajiri wa mali na rasilimali za kutosha sana kuliko hata nchi ambazo ni tajiri? Serekali yetu naiomba iwabane wale wote wanaorudisha maendeleo ya taifa letu nyuma.

No comments:

Post a Comment