MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

02 December 2011

MR. EBBO HATUNAYE TENA.

Msanii wa Bongo Fleva nchini Abel Loshilaa Motika na bosi wa Motika Records "Mr. Ebbo" amefariki dunia kwa habari zilizopatikana kwenye blog ya jamii. Mr. Ebbo atakumbukwa kwa style yake ya kuyimba kwa lafudhi ya kwao huko umasaini na aliweza kujikusanyia mashabiki wengi enzi alipotoka na kibao cha "MIMI MMASAI BANA"Kiruukaafrika na Afrika yetu, inamuombea Mr.Ebbo Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amen. ambapo akawa anatoa nyimbo ambazo kila ukisiliza utacheka na kujifunza vitu flani toka kwake.

No comments:

Post a Comment