Mchekeshaji maarufu wa kundi za Original Komed alimaruufu kama Vengu amezushiwa kifo ilihali yupo hai kabisa, ila yupo ICU chumba maalumu cha watu waliozidiwa habari kutoka kwenye mtandao wa jamii wa Facebook kutoka kwa mmoja wa mchekeshaji mwenzake Masanja mkandamizaji amesema Vengu yupo hai wala hajafa. " Wanaosema Vengu kafa, wao ndiyo wafiwe na mama zao" amesema Masanja kupitia mtandao huo wa kijamii wa Facebook. |
No comments:
Post a Comment