MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

10 December 2011

WATOTO NI WETU SOTE....

Katika jamii nyingi za Kiafrika swala la mtoto kujitafutia riziki ni swala la kawaida sana hasa ukiwa kunatoka kwenye familia maskini. Pichani wanaonekana watoto wadogo kabisa wakijiokotea matunda yaliyooza kwaajili ya kuyala, sijui ni nani mwangalizi wa afya zao. Naiomba Serekali katika miaka hii hamsini (50) mingine wawape kipaumbele hawa watoto wa mitaani ili waondokane na tatizo hili la kuzurura.

No comments:

Post a Comment