MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

12 February 2012

"TUTATOA URODA BURE BAADA YA ZAMBIA KUITOA GHANA...

Wanawake wanajishughulisha na uuzaji wa mmili yao nchini Zambia wameamua kuweka wazi kuwa wako tayari kutoa penzi bure kwa kila mchezaji baada ya kutinga fainali ya michuano ya Adfrika.
     Wanawake hao waishio mji mkuu wa Zambia 'Lusaka' wamesema ilikua ni kama ndoto kwao kufika hatua hiyo kwani walikua wakiota mda mrefu sana. "Kiukweli hatuamini kilichotokea baada ya vijana wetu kutinga fainali baada ya kuwatoa Ghana timu kubwa Afrika na Dunia kwa ujumla"
     Zambia na Ivory Cost zinakutana leo hii katika mechi ya fainali ambayo itaamua nani mshindi.

No comments:

Post a Comment